Alhamisi, 6 Oktoba 2011

PICHA YA LEO; UNAMKUMBUKA MFALME WA MUZIKI WA POP DUNIANI!?

Mfalme wa Pop Duniani akiwa mdogo enzi hizo.


DALILI ZA MAFANIKIO.
Unakumbuka kundi la muziki la Jackson's Five? Hapa ni mwaka 1972 kundi hili likiwa linang'aa pamoja na udhamini wa Studio za Motown Records, Michael Jackson ni wa mwisho kushoto.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni