Jumatatu, 3 Oktoba 2011

CITY FEVER; MDAU YUPO DAR TOKA JANA USIKU LAKINI ANATESEKA SANA NA FOLENI YA MAGARI NA SHIDA YA KUPATA DALADALA.

Oilcom Ubungo usiku wa jana.
Ubungo shell Oilcom
Ubungo Shell, watu kibao wakisubiri daladala bila mafaniko na foleni ya magari imesimama. Hii ndio shida haswa kwa wakazi wa Dar es salaam na sisi wageni ikifikia hatua hii huwa tunakumbuka kwetu Kusini, hakuna traffic jam kama hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni