Jumanne, 25 Oktoba 2011

ENZI HIZO, ASKARI POLISI WAKIWA KATIKA PATROL 1918 HUKO KEYSTONE URUSI.

Polisi wakifanya doria 1918

Maoni 1 :

  1. Enzi hizo kamanda alikuwa kamanda, sio mzaha kama leo. Hapo kwenye picha, kwa mfano, Kamanda anawaamuru: "Wakamateni wote wale!"

    (Na watakamatwa tu, bila haki yoyote kuzingatiwa kiubinadamu!)

    JibuFuta