Ijumaa, 7 Oktoba 2011

PICHA YA LEO; DUNIA KAMA KIJIJI MAWASILIANO YA KOMPYUTA KILA MAHALI.

Waaborigini wa Australia nao hawako nyuma kwenye Utandawazi ,hapa wapo na mkuu wa ukoo wao wakiangaliaa kompyuta inavyofanya kazi, ingawa wengine wanaonekana kabisa hawana mvuto na jambo linaloendelea hapa.

Maoni 1 :

  1. Kweli DUNIA labda ni kijiji ila tatizo vijiji vingine wanakijiji hawajanenepa!:-(

    JibuFuta