Jumamosi, 14 Mei 2011

KENETH ASSAMOAH ATUA YANGA SC LICHA YA MAJIGAMBO YA SIMBA KUWA WATAMSAJILI.

Keneth Assamoah akivishwa jezi ya Yanga leo hii alipopokelewa uwanja wa ndege na viongozi na wapenzi wa Yanga.
Wapenzi wakipozi kwa picha ya pamoja na Assamoah mara baada ya kupokelewa uwanjani.
Msafara wa mapokezi ya Assamoah ukipita jirani kabisa na makao makuu ya Simba mtaa wa Msimbazi leo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni