Jumanne, 17 Mei 2011

INASEMWA ETI KUNA WAZIRI WA SERIKALI YA KIKWETE HAPO WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA NI MMAREKANI NA ANATUMIA PASSPORT YA MAREKANI.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Cyril Chami(kushoto) na Naibu Waziri Lazaro Nyalandu, nani kati yao anahusika, lakini mchakato wa sheria wa uraia wa nchi mbili unaendelea. DIASPORA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni