Ijumaa, 6 Mei 2011

HIVI MTO RUFIJI HATUWEZI KUTENGENEZA MABWAWA YA KUFUA UMEME? SWALI KWA MAINJINIA WETU.

Mto Rufiji

Daraja la Mkapa




Kuna usalama kweli hapa? Wapi SUMATRA?

Wananchi katika harakati zao za kuvuka mto kuelekea mashambani mwao kwa shughuli za kilimo.

Mto Rufiji.Picha zote kwa Hisani ya Tembea Tanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni