Jumapili, 1 Mei 2011

UGANDA MAMBO SI SHWARI, VIRUNGU NJE NJE,MUSEVENI NA BESIGYE WAENDA NAIROBI, MMOJA MKUTANONI MWINGINE HOSPITALI.

Watu wawili wahofiwa kufa kwenye vurugu za kupingwa kuonewa kwa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye

Besigye akiamrishwa kushuka kwenye gari

Alipokaidi kioo kilivunjwa na gesi ilipulizwa ndani ya gari


Mlinzi wa Besiye akidhibitiwa

Polisi jeshi wakiwa kwenye doria.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni