Jumanne, 10 Mei 2011

AMRI ATHUMAN A.K.A. KING MAJUTO AIBUKA MKALI WA TASNIA YA UCHEKESHAJI TANZANIA KATIKA FAINALI ZILIZOFANYIKA JUMAMOSI ILIYOPITA MANGO GARDEN.

King Majuto ajinyakulia shilingi milioni moja na nusu katika shindano la mkali wa vichekesho lililoendeshwa na gazeti la Risasi kwa kupigiwa kura na wasomaji.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni