Jumapili, 29 Mei 2011

PICHA YA LEO; ANAITWA NAFISSATOU DIALLO, NI KILE KIFAA KAMA UNAVYOKIONA AMBACHO IMANI ILIMSHINDA STRAUSS-KAHN AKATAKA KUBAKA.

 


Dada ana mtoto mmoja wa miaka tisa, lakini bado anang'aa, raia wa Guinea aliyeamia Marekani. Pole kwa dhahma iliyokukumba, usimfunge Kahn ila akulipe fidia tu kwani hakufanikisha alichokitaka. Msamehe.

Maoni 2 :

  1. mungu wangu,nayule mweupe je?au ndio kujiachia.mbona huyu dada si yule...aaaaah bwana,mambo gani haya kwenye internet.

    JibuFuta
  2. yote yawezekana,kumbuka mara baada ya lile tukio hakukuwa na recent picture yake hadi miezi miwili baadae alipofanya mahojiano na vyombo vya habari kuelezea tukio, kumbuka ana miaka 32,inawezekana picha ya hapa ni ya zamani(library) ni hiyo uliyoiona wewe ni ya sasa.

    JibuFuta