Alhamisi, 19 Mei 2011

PICHA YA LEO, NI URAFIKI AU UNAFIKI? NDEGE ZA UFARANSA ZILIKUWA ZA KWANZA KUISHAMBULIA LIBYA KATIKA UVAMIZI WA NATO DHIDI YA LIBYA.

Rais Sarkozy wa Ufaransa na Muhammar Gaddafi wa Libya kabla ya kuanza kwa mashambulizi ya NATO dhidi ya Libya mapema February mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni