Jumanne, 24 Mei 2011

PICHA YA LEO;AMINI USIAMINI WAZEE WA EPA WAENDA JELA BAADA YA KUTIWA HATIANI.

Picha ya leo

Rajabu Maranda (kulia) na binamu yake Farijala Hussein, waliohukumiwa kifungo cha jumla ya miaka 21 jela baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa fedha Sh bilioni 1.8 za Akaunti Maalumu ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wakianza safari yao kwenda kuanza maisha mapya gerezani Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya gazeti Habari Leo)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni