Jumatano, 25 Mei 2011

MAITI MOJAWAPO KATI YA ZILIZOTELEKEZWA NYAMONGO JUZI KUAMKIA JANA 24/05/2011

Umekuwepo mkanganyiko mkubwa baina ya wafiwa, serikali na wanaharakati kufuatia watu kadhaa kuuawa na askari polisi kwa kupigwa risasi wakituhumiwa kutaka kupora Mgodi wa African Barrick North uliopo katika eneo la Nyamongo, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara, Tanzania.

Mkanganyiko huo wa ama maiti zizikwe au la, ili kupisha uchunguzi, umesababisha mtafaruku ambao umewaacha maiti hao wakiwa wametelekezwa mitaani, vile vile, baadhi ya wanaharakati na viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, wamekamatwa kuhusiana na tukio hili.
Picture
Pichani ni ndugu na jamaa wakiwa wamepigwa butwaa wasijue la kufanya baada ya maiti ya Chawali Bhoke na wengine ikiwa imetelekezwa mitaani katika vijiji vya Bonchugu wilayani Serengeti leo hii.

Chanzo;www.wavuti.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni