Jumatano, 31 Agosti 2011

SALAAM ZA EID MUBARAK KWA NDUGU ZETU WAISLAM KWA KUMALIZA MFUNGO SALAMA. SALAAM ZA EID TOKA DODOMA MASJIDUL GHADAFFI NI KUDUMISHA AMANI MIONGONI MWA MATAIFA DUNIANI

Mtoto Fatma Hassan katikati akiwa na wenzie mara baada ya kumaliza swala ya Eid msikiti wa Majengo J leo asubuhi huko Nachingwea.
Amani yabidi idumishwe miongoni mwa wanadamu ili watoto kama hawa wakue katika maadili mema na wafurahie maisha.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni