Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo EID MUBARAK. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo EID MUBARAK. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 7 Novemba 2011

BAKWATA YAUNGA MKONO SERIKALI KUKATAA USHOGA.

                                                                                                 Makamu wa Rais Dk. Mohammed akisoma hotuba yake katika Baraza la Idd el-Hajj baada ya swala ya Idd iliyofanyika kitaifa kwenye Msikiti wa Al Farouq Kinondoni, Dar es Salaam. (Picha na Muhidin Sufiani).




Jumapili, 6 Novemba 2011

IDD MUBARAK KWA KUSHEHEREKEA IDD EL HADJI LEO.

Blogu yetu inaungana na Waislamu na watu wote Duniani kusherehekea sikukuu ya Idd ya kuchinja leo kama ilivyoasisiwa na Baba yetu Nabii Ibrahin (A.S)

Jumatano, 31 Agosti 2011

SALAAM ZA EID MUBARAK KWA NDUGU ZETU WAISLAM KWA KUMALIZA MFUNGO SALAMA. SALAAM ZA EID TOKA DODOMA MASJIDUL GHADAFFI NI KUDUMISHA AMANI MIONGONI MWA MATAIFA DUNIANI

Mtoto Fatma Hassan katikati akiwa na wenzie mara baada ya kumaliza swala ya Eid msikiti wa Majengo J leo asubuhi huko Nachingwea.
Amani yabidi idumishwe miongoni mwa wanadamu ili watoto kama hawa wakue katika maadili mema na wafurahie maisha.