Jumanne, 30 Agosti 2011

JAMANI HAKI ZA BINADAMU ZIHESHIMIWE, HUYU KAIBA KUKU TU HIVI NA HATA ALIYEIBIWA HAJULIKANI, SOTE TUMEUMBWA, TUHURUMIANE.

Mkemia akiwa ndani ya tairi iliyowashwa moto na wananchi wenye hasira kali.
Kibaka aliyejulikana kwa jina la Mkemia amechomwa moto jana huko Mbeya kwa kuiba kuku, sijui wa sikukuu labda, ameuawa kwa kipigo na kuchomwa moto, aliyeibiwa kuku hajulikani.
Polisi wakijiandaa kuubeba mwili wa marehemu Mkemia.

Credits; Mbeya Yetu Blog



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni