Jumatatu, 29 Agosti 2011

PICHA YA LEO; SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI, WANAFUNZI WAKISIKILIZA MADA YA RUSHWA NA ATHARI ZAKE TOKA KWA MWALIMU WAO.

Mwalimu Mkuu Msaidizi Shule ya Sekondari Naipingo Nachingwea mbele ya Wanafunzi wake.
Wanafunzi wakiwa makini kusikiliza.


Maadili yanatakiwa yakuzwe tangu vijana wakiwa wachanga ndio tutaona mafanikio yake.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni