Ijumaa, 26 Agosti 2011

JAMANI HUKU MIKOA YA KUSINI MWA TANZANIA JANA TULIONJA ADHA YA MASAA26 YA MGAO WA UMEME WAKATI WANASHEHEREKEA JAIRO KURUDI KAZINI, SORRY FOR NOT UPLOADING!!!!

Majumba ya NHC ya zamani Mtaa wa Viwanda Mtwara
Mnazi Mmoja Lindi, kote huku kulikosa umeme jana hadi leo uliporejea, hamna taarifa zozote kwa kilichotokea.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni