Ijumaa, 12 Agosti 2011

SEMINA YA MAPAMBANO YA KUZUIA RUSHWA KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VYA USHIRIKA WA MAZAO(AMCOS) NACHINGWEA JANA.

Afisa wa TAKUKURU  Ndg. Zablon akiwasilisha mada juu ya kujenga uwezo wa kuzuia rushwa katika Vyama vya Msingi vya Ushirika kwa Wenyeviti na Makatibu wa vyama hivyo wilayani Nachingwea jana.

Baadhi ya wanasemina wakisikiliza kwa makini.
Wanasemina wakisikiliza, Semina hii iliandaliwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya kupitia ofisi ya Afisa Ushirika.Maoni 1 :

  1. Mkuu tupo pamoja, nashukuru ka taarifa hizi unazotupa!

    JibuFuta