Jumanne, 23 Agosti 2011

PICHA YA LEO; WANAFUNZI WA CHUO CHA USTAWI WA JAMII WAANZA TENA MASOMO BAADA YA KUFUNGWA KWA MUDA MREFU.

Mhadhiri aliyefahamika kwa jina la Zainab akiwafundisha Wanachuo wa Ustawi wa Jamii mjini Dar es Salaam jana(Picha na Yusuph Badi wa HabariLeo) 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni