Alhamisi, 9 Juni 2011

MFUMUKO WA BEI KUDHIBITIWA BAJETI HII

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo



 Thursday, June 09, 2011 12:53 PM
VIPAUMBELE vinne vya Bajeti vya mwaka 2011/12 vikiwemo na miundombinu ya barabara, reli, bandari na mkongo wa mawasiliano wa taifa ikiiwemo na kudhibiti mfumuko wa Bei katika kuimarisha maisha ya wananchi nchini
Bajeti hii imekuwa na ongezeko la asilimia 85 ukilinganisha na ile iliyoisha yawmaka 2010/11

Nishati na madini imetengewa Shilingi billion 539.3 , maji imetengewa Shilingi bilion 621.6 ambapo mwaka ulioisha ilitengewa billion 397.6 imekuwa na ongezeko la asilimia 56,

Kilimo na umwagiliaji kimetengewa billion 926.2 kutoka billion 903.8 ya mwaka jana sawa na ongezeko la asilimia 2.5

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni