Ijumaa, 10 Juni 2011

ALIYELIWA URODA HADHARANI BBA AMPLIFIED ASEMA YEYE HAKUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MASHINDANO HAYO, ALIYOYAFANYA YOTE NI YEYE ALIVYO, MPO HAPO?


Bhoke Egina akiongea na waandishi wa habari jana na kukana hadharani kuwa yeye hakuwa akirusha bendera ya Tanzania katika mashindano hayo, BHOKE alionekana live akiliwa uroda hadharani na mshiriki mwenzie Ernest toka Uganda tena kavukavu bila kon...m, kuna usalama hapo jamani!? Video inakuja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni