Jumamosi, 12 Novemba 2011

WAMACHINGA WAPAMBANA NA POLISI MBEYA, KANDORO AKIRI HALI NI MBAYA.





















Wafanyabiashara ndogo ndogo mjini Mbeya maarufu kama ‘machinga’, wakiwa wamechoma moto matairi barabarani na kupindua magari, wakipinga uondolewa katika maeneo yao ya kufanyia biashara jana, vurugu zilizotapakaa katika vitongoji mbali mbali vya mji huo. Picha na Brandy Nelson

Maoni 1 :

  1. Je, wenye mamlaka nao wanafikiri ni mchezo tu kule kusukumwa na kuondolewa bure kwenye sehemu za kujibadia ridhiki? Wafanyeje sasa Machinga? Waende wakaibe eti?

    JibuFuta