Jumatatu, 21 Novemba 2011

MAMBO YA ARUSHA, COCKTAILPARTY MISHIKAKI YA MATUNDA NA MUZIKI.

Naura Springs Hotel.
Mlima Meru ulijifungua kidogo tokana na mawingu na ni huo kama unavyoonekana toka juu hotelini.
Mishikaki ya Matunda, safi sana.
Dansa ambaye sikuweza kupata jina lake akicheza na moto kichwani.
Dansa anaendelea kuburudisha noti kibao zimemzunguka.





Maoni 1 :

  1. Wamwache palepale alipodansia na wasimpeleke pengine wanapowania wao sasa na mapesa yao yaliozidi....au atawalemaaza yule!


    Kwanza SHE IS A HOTHEAD (na moto wote ule kichwani chake ni lazima tu), AND THE REST OF HER AS-YET-UNEXHIBITED CAPABILITIES LEAVES VERY LITTLE TO IMAGINATION!

    JibuFuta