Jumatatu, 7 Novemba 2011

MLINZI ALIYEPIGWA SHOKA NA MAJAMBAZI HUKO TABATA DSM AMEFARIKI DUNIA.


Bw. Mussa Shabani (pichani) ambaye alipigwa shoka kichwani akiwa nyumbani kwa Bw. Joseph Mwakyusa huko Tabata jijini Dar es salaaam na majambazi amefariki dunia akiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Bw. Mussa alikutwa na tukio hilo akiwa katika kazi yake ya ulinzi nyumbani kwa Joseph Mwakyusa hivi karibuni.Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, AMINA.

Credits; Globalpublishers.info

Maoni 1 :

  1. Na majambazi hao wamwombe kweli Shetani wao awalinde: wakikamatwa huko Tanzania jela ya mawuaji si mchezo....


    ... Yaani unamkata binadamu na shoka kama vile unakata minyoo... vipi akili zenu nyie majambazi ombaomba?

    JibuFuta