Jumatano, 16 Novemba 2011

SORRY FOR NOT UPLOADING FOR A WHILE, I'M IN ARUSHA WHERE THE NETWORK STRENGTH IS NOT STABLE.

Mdau yupo Arusha kwa mafunzo kidogo ili aongeze ujuzi wa mambo ya sheria, network inasumbua ila tutajaribu hivyohivyo tupeane mambo mazuri ya Arusha.

Mnara wa kumbukumbu ya kutangazwa kwa Azimio la Arusha tarehe 5/2/1967, ni alama mojawapo inayoutambulisha mji wa Arusha.


Mbele ya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha(AICC). Mji wa Arusha ni msafi kwa mazingira kuliko miji mingine niliyowahi kuitembelea hapa Tanzania, hongereni sana Wanaarusha endeleeni na juhudi za kutunza mazingira.


Maoni 1 :