Jumanne, 8 Novemba 2011

MWENGE WA UHURU SASA UPO MKOANI MBEYA.


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stellah Manyanya (kulia), akimkabidhi  mwenge wa uhuru Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro,baada ya mwenge huo  kumaliza mbio zake mkoani Rukwa, katika hafla iliyofanyika jana, kijiji  cha Mkutano wilayani Mbozi.

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Gabriel Kimolo (kulia), akimkabidhi mwenge wa  Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini,Evance Balama, baada ya mwenge huo  kumaliza mbio zake wil;ayani Mbozi.Makabidhiano hayo yalifanyika Songwe  Viwandani mkoani  Mbeya.Mwenge huo mkaoni Mbeya utafungua miradi yenye thamani ya  sh.bilioni 2.6 na Wilayani Mbozi umefungua miradi mitatu ya sh.milioni  156.
Askari wa kutuliza ghasia na skauti wakiulinda mwenge wa uhuru baada ya kuwasili viwanja vya Bomani wilayani Mbozi
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni