Jumamosi, 10 Septemba 2011

ZAIDI YA MIA TANO WAOKOLEWA WAKIWA HAI, LAKINI PIA MAITI 198 ZIMETHIBITISHWA KUPATIKANA AJALI YA MV SPICE ZANZIBAR.

Wananchi Zanzibar wakiwa ufukweni wakisubiri kwa huzuni walionusurika na kutambua maiti za jamaa zao.

Majeruhi akiwaishwa kwenye matibabu.

Wasamaria wema wakisaidia shughuli za uokoaji.

Maiti zikiondolewa katika majahazi.

Picha iliyopigwa toka kwenye Helikopta, manusura wakielea kwenye mabaki ya chombo

Huzuni tele.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni