Ijumaa, 23 Septemba 2011

AJALI MBAYA YA LORI KUGONGANA NA GARI DOGO MBALIZI MBEYA JANA

Polisi wakiangalia gari aina ya roli lenye namba IT.9518, lililopata ajali baada yakugongana na gari jingine na hivyo kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu watembea kwa miguu na kuvunja nyumba.
Gari iliyogongana na lori.


Chanzo;globalpublishers.info

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni