Ijumaa, 2 Septemba 2011

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 47 YA JWTZ, 41KJ NACHINGWEA KATIKA UKUMBI WA MONDLANE MESS JANA.

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Bw. Goroi akifungua sherehe za maadhimisho hayo.
Mkuu wa Wilaya akikabidhi zawadi kwa Timu ya Volleyball ya Nachingwea Veteran, anyepokea ni Kepteni wa timu Ndg. John Mzava na pembeni kushoto ni Naibu Mkuu wa Kikosi 41KJ Meja Mwaisombe.
Zawadi zilitolewa pia kwa Watoto Yatima.

Muda wa maakuli uliwadia, menyu ilikuwa ya nguvu.

Baadhi ya wachezaji wa timu ya volleyball ya veteran Nachingwea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni