Jumanne, 20 Septemba 2011

PICHA YA LEO; UNAIKUMBUKA ENZI YA TANCUT ALMASI BENDI YA IRINGA.

Wanamuziki mapacha wa Tancut Almasi enzi hizo, walioshika vibuyu ni mapacha Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa ambao wote ni marehemu kwa sasa, Mungu awalaze mahala pema, Amina.
Tancut Almas wakitumbuiza, unavikumbuka vibao kama "Kumbe nilimkaribisha nyoka"(masafa marefu) na vinginevyo vilivyotamba!? Bendi hii nayo haipo tena katika Ulimwengu wa burudani.

Marehemu Kasaloo Kyanga ambaye ametutoka duniani mwezi huu mwanzoni na kuzikwa makaburi ya Sinza, Mungu amrehemu-Amia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni