Jumatano, 7 Septemba 2011

LEO NI SIKU YA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA TANZANIA, HONGERENI WATAHINIWA WOTE, TUNAWAOMBEA MFAULU VIZURI.

Mwanafunzi Sulma Hassan wa Mikocheni Shule ya Msingi Dar es Salaam, leo ni mmoja wa watahiniwa wa darasa la saba, tunawaombea dua mfaulu wote.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni