Jumanne, 6 Septemba 2011

MANDHARI YA MANISPAA YA LINDI, MJI WA KITALII LAKINI BADO HAUJULIKANI SANA.

Majengo mapya ya kisasa yanachukua nafasi ya yale ya zamani, hilo jengo jeupe ni ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Lindi.

Magofu ya
 
Majengo ya miaka ya 1900

Mitaa ya Lindi.

Pwani nzuri kuliko zote Bahari ya Kusini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni