Jumamosi, 10 Septemba 2011

VIJANA WATANO PICHANI WAKUTWA NA KILO 94 ZA HEROIN, DUH!!? VIJANA HATARI SANA HAWA, IKITHIBITIKA ADHABU KALI ITOLEWE.


Raia wa Iran, Ali Mirzaei Pirbaksh (kushoto) na Watanzania wanne, Abdul Mtumwa (wa pili kushoto) akifuatiwa na Aziz Juma, Said Mashaka na Hamidu Kitwana wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kusomewa mashitaka ya kukutwa na Kilo 97 za dawa za kulevya aina ya Heroine eneo la Africana Mbuyuni Dar es Salaam.Hata hivyo hawakutakiwa kujibu chochote kwa sababu Mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi hiyo ni Mahakama kuu ya Tanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni