Jumatatu, 26 Septemba 2011

PICHA YA LEO; TUJIKUMBUSHE SIKU MBWA WA POLISI ALIVYOKATA KAMBA NA KUINGIA UWANJA WA MPIRA.

Polisi akiwa amemdhibiti mbwa wake akisimamia foleni siku ya mechi ya ligi kuu ya Vodacom kati ya Simba na Toto Africa ya Mwanza huko CCM Kirumba juma lililopita.

Hapa mbwa amekata kamba na kuingia uwanjani, hapa inasemekana alikuwa anamkimbiza mchezaji wa Simba Haruna Moshi 'Boban', sijui kwa nini amuandame yeye tu.

Wachezaji wakiwa wametahayari wasijue lakufanya, je huu ni uzembe au bahati mbaya kwa polisi huyu!!?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni