Jumanne, 19 Julai 2011

MDAU WA BLOGU YETU JANA ALIWASILI MOROGORO KWA SHUGHULI ZA KIJAMII NDIYO SABABU YA KUTO UPLOAD JANA, SORRY FOR THAT.

Mitaa ya Mji kasoro bahari jana jioni.

Miundombinu ya barabara wamepiga hatua, kuna hadi njia za watembea kwa miguu na wapanda baiskeli.
Inayoonekana mbele ni milima ya Uluguru.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni