Jumapili, 10 Julai 2011

DAKIKA 123 ZACHEZWA LAKINI SIMBA YASHINDWA KUUNGURUMA MBELE YA DAR YOUNG AFRICANS.

Nemoo ya Yanga, Mabingwa wa mara tano wa kombe la Kagame lililokuwa linashikiliwa na APR ya Rwanda.
Kikosi cha Yanga(Picha ya maktaba) Mbinngwa wa kombe la Kagame 2011/2012 wakiwa wamepozi kwa picha ya pamoja, matokeo yalikuwa Yanga 1 Simba 0.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni