Jumamosi, 2 Julai 2011

KABILA LA WAMWERA MKOANI LINDI WILAYA YA NACHINGWEA KATIKA SHUGHULI ZA KUMALIZA MSIBA(AROBAINI)

Watani wakiandaa unga tayari kwa maandalizi ya ugali wa shughuli.


Ugali ukipakuliwa.

Mtani akihimiza watoto wa marehemu wakapate msosi

Msosi ukiliwa
Majadiliano yakiendelea
Mandhari kijijini Mandawa Nachingwea

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni