Jumatano, 27 Julai 2011

MBUNGE WA NYAMAGANA NDUGU WENJE ATOLEWA NJE YA BUNGE NA ASKARI BAADA YA KUTOKEA TAFARANI KIDOGO MCHANA HUU.

Huyu bwana Ezekia Wenje huwa naogopa hata kumuita mheshimiwa kwani ana matata sana akiwa bungeni,mengine naona hayana hata msingi........Alitolewa nje na sajini wa Bunge kwa kosa la kuongea bila ruhusa ya Mwenyekiti wa Bunge pale alipokuwa akimtetea mbunge mwenzie Tundu Lissu kuwa ameonewa,alikuka taratibu za kuongea bila ruhusa.

Maoni 1 :

  1. Kwani vipi? Amepiga mbunge-mwenzake au kumetokea nini, Mkuu?

    Hawa watu duniani kote wanakuwa kama akili zao sio nzuri, lakini hata hivyo nadhani ni wabunge kamili na wanastahili heshima zetu kwani wamechaguliwa na wakazi wenye eneo lao. Hatuna haki sisi kuwatolea nje kwa matumizi ya askari isipokuwa kama wanavunja sheria za nchi pia na sheria za Bungeni.

    Labda utupe ufafanuzi zaidi kuhusu huyo Mbunge.

    Asante.

    JibuFuta