Jumatatu, 4 Julai 2011

HAWA GHASIA KUTANGAZA ONGEZEKO LA MISHAHARA LEO



Waziri Utumishi,Mh.Hawa Ghasia.
Monday, July 04, 2011 10:02 AMLEO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Hawa Ghasia, anatarajia kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka 2011/12 bungeni huku watumishi wa umma wakiisubiri kwa hamu kujua hatma ya ongezeko la mshahara.
Katika kuwasilisha makadirio hayo bungeni leo itabainisha ongezeko la nyongeza ya mshahara ama hakutakuwaq na nyongeza yoyote

Katika hotuba iliyowasilishwa June 8 mwaka huu na Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo haikuzungumzia chochote kuhusu kupanda kwa mishahara ya watumishi wa umma na kubainisha kuwa nyongeza hiyo iko kaitka bajeti ya waziri Ghasia aliwabainsihia wanahabari.

Hitaji la ongezeko la mishahara ni madai ya muda mrefu kwa watumishi wa umma na serikali kupitia kwa Waziri Ghasia ndio mkombozi wa kilio cha watumishi nchini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni