Jumatatu, 25 Julai 2011

25 JULAI, LEO NI SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA INAYOADHIMISHWA KITAIFA HUKO NALIENDELE MTWARA, MH. RAIS JAKAYA KIKWETE NDIYE MGENI RASMI. RIP MASHUJAA WETU.

Baadhi ya makaburi ya wanajeshi waliofia vitani, haya ni ya waislam.
Haya ni ya wakristo wanajeshi waliofia vitani wakitetea nchi yao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni