Jumapili, 17 Aprili 2011

USAWA WA JINSIA

Bw. Kiwewe akimsaidia mkewe Matumaini kufanya kazi za jikoni,ingekuwa vizuri kama usawa huu ungefafanuliwa kwenye katiba mpya inayokuja ili kuondoa mfumedume,wenzetu wa Ulaya na Marekani ni jambo la kawaida wanandoa kusaidiana kazi za nyumbani,wadau mnasemaje?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni