Jumatatu, 11 Aprili 2011

SIMU KWA WAZAZI



Binti huyu ambaye hakupenda kutaja jina lake alikutwa jana eneo la Ukonga FFU stendi ya daladala akiwa anaongea na simu huku kapiga magoti, alipoulizwa kulikoni alisema yeye alikuwa anaongea na wazazi wake walioko huko kijijini  mkoani Morogoro hivyo kupiga magoti ni kuonesha heshima tu na amezoea hivyo anapoongea na wakubwa wake hususani wazazi wake, du! kali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni