Ijumaa, 8 Aprili 2011

MGOGORO WA ARDHI WAUA WATANO KWA MAPANGA HUKO TEGETA WAZO

 Mwili wa mtu aliyeuawa ambaye ni wakala wa kampuni ya udalali mmoja wa waliokuwa wakilinda eneo lenye mgogoro.
 Mwingine akiwa taabani

Polisi wakibeba miili ya majeruhi,kwa habari zaidi soma hapa,picha kwa hisani ya AMAN MASUE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni