Jumatano, 6 Aprili 2011

MATOKEO YA MECHI YA WATANI WAJADI 3-1

Ile mechi iliyochezwa jumamosi iliyopita iliisha kwa matokeo ya 3-1 pale wale wa bluu walipowa funga wekundu, mchezo ulikuwa wa ushindani mkali,wekundu wameapa kulipiza kisasi jumamosi ijayo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni