Jumatatu, 11 Aprili 2011

LAURENT GGAGBO AKAMATWA MAFICHONI

Habari toka mji wa Abdijan huko Ivory Coast zinasema kuwa yule Rais aliyeng'ang'ania madarakani licha ya kushindwa kwenye uchaguzi mkuu Laurent Ggagbo amekamatwa leo hii na majeshi yanayomtii Rais anayetambuliwa na jumuiya ya kimataifa Allesane Quattara kwa ushirikiano na yale ya umoja wa mataifa. Hivi sasa Ggagbo anashikiliwa katika hoteli ya Golf mjini Abdijan,ambayo ndiyo makao ya rais Quattara na Umoja wa Mataifa. Mwisho wa ubaya ni aibu na mkahidi hafaidi mpaka siku ya...........

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni