Jumapili, 3 Aprili 2011

IS TAZARA STILL SURVIVE?

 Stesheni ya reli ya Tazara Dsm,mashine hizi toka China zina uwezo wa kuvuta hata behewa arobaini bila shida
 Kichwa cha treni au garimoshi kina vyumba (cabin) viwili vya kuendeshea, kimoja kila upande
 Cabin haina viendesheo vingi kama gari, huo usukani unaoonekana ndio kiongeza mwendo wa injini(accelerator), pembeni hivyo virungu ndio breki zenyewe.

Dereva akiongeza mwendo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni