Jumatano, 20 Aprili 2011

NYAMA ZA MAFUNGU

Hapa ni eneo la Igoma huko Mwanza, hawana shida ya protini mwilini kwani nyama sio starehe kwao,ni kitu cha kawaida tu, fungu moja la nyama huuzwa Tsh. 1000/- ukiwa na hela pungufu unaoongea.

Machinjio ya Mwanza

Hawa ndege wanakula mabaki ya nyama, hawachezi mbali na eneo la machinjio,wanaitwa Vumatiti.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni