Jumatano, 20 Aprili 2011

Mtakatifu SIMON KITURURU

Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI:  Anasema eti tatizo la kutibu MATATIZO kwa kunywa pombe ni kujisumbua tu! du!, "....... kilaji kikiondoka akilini MATATIZO hubakia palepale!:-( Swali: Si hilo hukumbukwa? Na tatizo la kutibu matatizo kwa KULA, pia ni kama yale ya pombe tu,jinsi utakavyoshiba na njaa nayo inajiandaa kuja tena kwa vile NJAA ina tabia ya kujirudiarudia,mnasemaje wadau? Si mimi, ni mawazo tu ya Kitururu Mawazoni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni