Jumapili, 25 Desemba 2011

MTAMBO WA GONGO NA SNAKE MAN KUPANDA ULINGONI LEO

 
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya' akiwa katikati ya mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo' kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', baada ya kupima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni Kijichi, Dar es Salaam siku ya Xmasi. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo' kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', wakipima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni KIjichi, Dar es Salaam siku ya Xmas

Maoni 1 :

  1. Pamoja na ujanja wake, sasa kweli nyoka akitumbukia ndani ya gongo atapona kweli?


    La!

    JibuFuta